Our Latest Blog Posts
27
Aug

AJIRA MPYA

TPDC Invites applications from qualified Tanzanians to fill 62 posts in various fields. Application details are available via the official website of the Public Service Recruitment Secreteriat. Nafasi-za-AjiraDownload

Read more →
12
Jul

Ugunduzi Wa Mafuta Eyasi Wembere Utachochea Ukuaji Wa Uchumi Nchini.

Ugunduzi Wa Mafuta Eyasi Wembere Utachochea Ukuaji Wa Uchumi Nchini. Arusha.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella alisema endapo Tanzaniaitafanikiwa kugundua mafuta katika bonde la Eyasi Wembere Wilayani Karatuitakuwa ni hatua kubwa na muhimu itakayosaidia kukuza uchumi wa Taifa. Mheshimiwa Mongella aliyasema hayo alipokuwa akiongea na Kikosi kazi chaMaafisa kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) walipofika ofisinikwake kutoa taarifa ya maendeleo ya mradi. “Mmenipa taarifa kwamba, mradi wautafutaji…

Read more →
09
Jul

Zaidi Ya Asilimia 60 Ya Umeme unazalishwa na Gesi Asilia-Mwenyekiti Wa Bodi -PURA

Zaidi Ya Asilimia 60 Ya Umeme unazalishwa na Gesi Asilia-Mwenyekiti Wa Bodi -PURA Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Bwana Khalfan Khalfan leo tarehe 09/07/2022 ametembelea banda la TPDC katika Maonesho ya 46 ya Biashara jijini Dar es salaam na kutoa pongezi kwa TPDC kwa kuendelea kuwa na mchango mkubwa kwa Taifa katika uzalishaji wa umeme. ‘’Zaidi ya asilimia 60 ya umeme nchini…

Read more →
08
Jul

Angola na Tanzania Zajadiliana Ushirikiano Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia 

Angola na Tanzania Zajadiliana Ushirikiano Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia  Dar es salaam. Balozi wa Angola nchini Tanzania, Mhe. Sandro Renato Agostinho De Oliveira amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James Mataragio kuangazia maeneo mbalimbali ambayo Angola na Tanzania wanaweza kushirikiana hususan katika Sekta ya mafuta na gesi asilia. Akizungumza katika kikao hicho, Balozi Sandro alieleza nia ya Serikali ya Angola…

Read more →
07
Jul

Mkurugenzi Mtendaji Wa TPDC Atembelea Maonesho Ya Sabasaba

Mkurugenzi Mtendaji Wa TPDC Atembelea Maonesho Ya Sabasaba Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James Mataragio tarehe 07/07/2022 alitembelea Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) katika banda la TPDC Jijini Dar es salaam. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika banda hilo Dkt. Mataragio alisema kuwa kiasi cha gesi asilia kilichogunduliwa mpaka sasa ni futi za ujazo Trilioni 57.54 tcf. ‘’Kiasi…

Read more →
04
Jul

Waziri Makamba Azindua Bodi Ya TPDC

Waziri Makamba Azindua Bodi Ya TPDC Arusha, 4 Julai, 2022. Mnamo tarehe 20 Mei 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alimteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kufuatia uteuzi huo mnamo tarehe 10 Juni 2022 Waziri wa Nishati, Mhe. January Y. Makamba (Mb) aliteua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC ili kukamilisha safu ya…

Read more →
30
Jun

TPDC Yatunukiwa Tuzo

TPDC Yatunukiwa Tuzo Dar es salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio alipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Serikali ya Uganda kupitia Mamlaka ya Uwekezaji nchini humo (Uganda Investment Authority-UIA) kwa kutambua mchango wake wa kitaalam katika kufanikisha mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) pamoja na kufikia maamuzi ya mwisho ya uwekezaji (FID) ya mradi. Tuzo hiyo ilikabidhiwa…

Read more →
28
Jun

Nyumba 570 Zaunganishwa na Mtandao wa Gesi Asilia Dar es salaam

Nyumba 570 Zaunganishwa na Mtandao wa Gesi Asilia Dar es salaam Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea na utekelezaji wa miradi ya kusambaza gesi asilia ambapo nyumba 570 za maeneo ya Sinza na Kota za Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam zimeunganishwa na mtandao wa gesi asilia.Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio alisema, “ tumekamilisha mradi huu wa nyumba 570…

Read more →
11
Jun

Raisi Samia Atoa Rai Kwa TPDC

Dodoma, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amesema anataka kuona Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linakuwa Shirika la kimkakati nchini ili kwa miaka ijayo shughuli zote za kuchakata na kusindika gesi asilia zifanywe na Shirika hilo. Rais Samia alisema hayo Juni 11,2022 wakati wa hafla ya utiaji Saini makubaliano ya awali ya mkataba wa nchi hodhi wa mradi wa kusindika gesi asilia  kuwa kimiminika (LNG), ambapo ameiagiza Wizara ya…

Read more →