MEI MOSI 2015 KATIKA PICHA

Sherehe za Mei Mosi (Matukio katika picha)

Baadhi ya watumishi wa TPDC wakiwa wamebeba bango lenye kauli mbiu “Gas Asilia ni kwa Maendeleo ya Nchi nzima”, wakijiandaa kuingia uwanja wa taifa.

Wafanyakazi wa TPDC wakikaribia kuingia ndani ya uwanja wa Taifa.

 

5

Dr. Wellington Hudson (Principal Geologist), Kaimu Mkurugenzi wa Mipango akijumuika na wafanyakazi wenzake katika maandamano ya Mei Mosi.

 

6

Wafanyakazi wakipita mbele ya Mgeni rasmi ndani ya uwanja wa Taifa.

Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC (Dr. J. Mataragio), akijumuika pamoja na wafanyakazi wenzake kula, kunywa na kubadilishana mawazo kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani.

 

Wafanyakazi wakiimba pamoja wimbo wa “Solidarity Forever” kama ishara ya mshikamano baina yao.