Maelezo
Mradi wa Utafutaji Mafuta wa Eyasi Wembere ni kielelezo cha ubora, weledi na uwezo wa kiufundi wa TPDC katika utafiti wa mafuta na gesi asilia unaotekelezwa kwa fedha za ndani za Shirika, ukiendelea kuifungulia Tanzania njia kuelekea kuwa kitovu cha nishati kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.