>
emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania
ega Logo
Dira na Dhima
svg-tree

Dira:

Kuwa kampuni endelevu ya kikanda katika utoaji wa nishati nafuu, za uhakika na ya vyanzo bunifu vya nishati, yenye uwepo kimataifa

 

Dhima:

Kuhakikisha usalama wa nishati na upatikanaji wake kupitia ufanisi katika shughuli za utafutaji, uzalishaji, uchakataji na usambazaji wa nishati nafuu na endelevu kwa wateja

Mpangilio