Mradi wa Gesi Asilia-Ntorya Ukamilike Septemba 2026

Mtwara, Februari 27, 2026 Mradi wa Gesi Asilia-Ntorya ukamilike Septemba 2026 Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, ametoa maelekezo mahsusi kwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhakikisha Mradi wa Maendeleo ya Gesi wa Ntorya unatekelezwa kwa kuzingatia nidhamu ya muda na viwango vya kitaalam, ili visima vya gesi vianze rasmi uzalishaji ifikapo Septemba 2026 kama ilivyopangwa. Waziri Ndejembi alitoa maelekezo hayo...




