Bodi ya Wakurugenzi
Bodi ya Wakurugenzi
Hii ni Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC inayosimamia menejiment ya TPDC kwenye utekelezaji ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria, miongozo, kanuni na sera katika sekta ya mafuta na gesi