TPDC Yakabidhi Gawio la Zaidi ya TZS Bilioni 15.1 kwa Serikali

Dar es Salaam, Julai 2, 2026 – Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekabidhi gawio la TZS 15,118,239,486 kwa Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26, ikiwa ni ongezeko la zaidi ya TZS bilioni 3.4 ikilinganishwa na gawio la TZS 11,714,451,625.13 lililowasilishwa katika mwaka wa fedha 2024/25. Makabidhiano hayo yamefanyika katika hafla ya Siku ya Gawio 2026 iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya...





