"Tunaamini muunganiko wa ufanisi, utaalamu na ushirikiano wa kiutendaji kati ya TPDC na Mkandarasi (AGS), malengo yetu katika utafiti wa mafuta Eyasi Wembere yatafikiwa." Balozi Ombeni Sefue
Utafiti wa Mafuta na Gesi-Tanzania
"Sisi Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC tumeridhika na kufurahishwa na uwezo, ufanisi na weledi wa watumishi wa TPDC wanaotekeleza Mradi wa Utafiti wa Mafuta Eyasi Wembere."Balozi Ombeni Sefue
Utafiti wa Mafuta na Gesi-Tanzania
“TPDC imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 47 kwa nguvu zake yenyewe na kufikia asilimia 78 ya awamu ya kwanza ya utafiti wa kijiofizikia — ishara ya nguvu na uwezo unaokua wa Tanzania katika sekta ya mafuta na gesi.” Balozi Ombeni Sefue
Utafiti wa Mafuta na Gesi-Tanzania
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Balozi Sefue wakikagua shughuli za utafiti wa mafuta katika ziwa Eyasi.
Mei Mosi-Njombe
Ahsante Mh. Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuthamimini Mchango TPDC Mei Mosi Njombe.