e

Matukio katika picha

Waziri wa Nishati na Madini, Mh. George Simbachawene (wa pili Kushoto) akiongea na mdau wa sekta ya mafuta na gesi nchini Italia katika kongamano la mafuta na gesi, (wa pili kulia)

 

f

Waziri wa Nishati na Madini, Mh. George Simbachawene  akicheza mchezo wa “Pool/ Pocket Billiards” katika kituo cha kuchakata gesi Madimba Mkoani Mtwara.

 

g

Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Emanuel Simbachawene (wakwanza Kushoto) na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendegu (Wa kwanza kulia) akikagua Eneo lililo haribiwa na mawimbi ya Bahari Mnazi bay Mkoani Mtwara

 

iMkurugenzi wa TPDC, Dkt. James Mataragio, akisalimiana na wakurugenzi wa TPDC alipowasili kwa mara ya kwanza katika ofisi za TPDC makao makuu jijini Dar es Salaam.

 

jMwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Bw. Michael Mwanda, (mwenye tai nyekundu) pamoja na wadau wa TPDC wakimsikiliza Mkurugenzi wa TPDC, Dkt. James Mataragio (hayupo pichani), katika hafla fupi ya kumkaribisha Mkurugenzi huyo jijini Dar es Salaam.

 

h

Wanaj eshi wa Jeshi l a wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na Jeshi la Magereza wakiwa eneo palipo tokea uharibufu uliosababishwa na mvua kubwa ilioambatana na upepo mkali wakiendelea na shughuli za kudhibiti uharibifu usiendelee kutokea zaidi katika ufukwe wa Mnazi Bay, Mtwara

 

3 thoughts on “Matukio katika picha”

 1. The best leader is the one who sees the best in people and fight seeking the best out of people, move on hon. Simba chaweni and Dk. mataragio you are doing the best for this nation.
  we youth are seeing foward into seeing the national development in oil and gas.
  GOD BLESS YOU ALL.

 2. Welldone TPDC now you are going global we get you well and we need more information from you. Thanks you very much for updated WEB

 3. This is impressive!
  The website set-up is very appealing. Please populate more information for public to understand/learn more on this emerging industry in our country.
  Pamoja tulijenge taifa letu.

  James

Comments are closed.