MRADI WA EACOP WANYANYUA UCHUMI WA TAIFA

Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umewezesha kukua kwa uchumi haswa katika mikoa ambayo imepitiwa na bomba hilo. Haya yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mhe. Balozi Ombeni Sefue alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga. “Mradi huu umekua na manufaa makubwa katika nchi yetu kwanza tumeona mradi umelipa fidia nzuri h...








